.

Tuesday 3 December 2013

inapatikana Mbeya mjini:dawa ya choo,sink,tiles,bafu,,,

tumia kiasi kidogo tu cha ninja soap ya maji kusafichia choo chako..vifuniko viwili tu vya ninja vinauwezo wa kusafisha choo..tikisa ninja soap kisha pima vifuniko viwili vya ninja kisha vimwage kwenye sakafu ya choo chako kisha ongeza maji kiasi kwenye safu ya choo na uaze kusugua choo chako ..vifuniko viwili ya ninja vinatoa povu na dawa ya kutosha kufukuza wadudu na kutoa harufu yote ndani ya choo.



No comments:

Post a Comment